Mambo 9 kuhusu Ray C baada ya kuchukuliwa na Polisi

Published On: 17 June 2016

Mwimbaji mkongwe wa Bongofleva Rehema Chalamila 'Ray C' alionekana kwenye video iliyosambaa mitandaoni kuanziaJune 16 2016 maeneo ya Kinondoni Dar es salaam akionekana kutojielewa na kutishia kutaka kujiua, Millard Ayo kapata details zote.