Number 37-Ray C - Ulinikataa Bila Sababu [BongoUnlock]

Published On: 03 December 2012

Rehema Chalamila (amezaliwa tar. 15 Mei, 1983 Iringa, Tanzania) ni mwimbaji wa muziki wa R&B, dansi, afro-jazz, taarab na bongo-bhangra kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ray C. Ray, alianza kujilikana ni baada ya kutoa vibao kadhaa kama vile, Sikuhitaji, Mapenzi Yangu, Nawewe Milele, Ulinikataa na nyingine nyingi zilizompa umaarufu.